GET /api/v0.1/hansard/entries/1272114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1272114,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272114/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Naelewe kuwa tumekuwa tunajadiliana na we kupitia vyombo mbali mbali na baadaye najua tutaendelea kuzungumza. Kwa sababu, wanasikiza kutoka kule nyanjani, itakuwa vyema kutaja kwa kifupi mradi upi tunaenda kupata. Hii ni kwa sababu walikuwanatazamia katika mipangilio yako, maji ya Nabuyore yatatumika kuliunda bwawa ambalo litatupa maji katika maeneo bunge zaidi ya nane."
}