GET /api/v0.1/hansard/entries/1272184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1272184,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272184/?format=api",
    "text_counter": 309,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Tusiseme Kenya ni moja lakini wengine wanaumia. Tunataka Kenya iwe moja kwa ukweli na haki. Naomba Masenata wote ambao watazungumza waunge mkono Hoja hii. Kwa hayo mengi na machache, ninaunga mkono Hoja hii . Asante, Bw. Spika wa Muda."
}