GET /api/v0.1/hansard/entries/1272744/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1272744,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272744/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
    "speaker": null,
    "content": "Shida kubwa ambayo tunayo sasa ni kwamba madaktari wetu hapa nchini sio warahisi wa kukuambia unaugua cancer ; wanaogopa wakikuambia hivyo basi utaingiwa na hofu na mambo yakakuharibikia haraka kuliko kawaida. Ningependa kusema kuwa hofu ni ugonjwa ambao hata umeshinda saratani. Hofu inaweza kukuua kabla ya saratani. Zamani, Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi) ulipogunduliwa, mtu angeambiwa tu ako na HIV, basi tayari The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}