GET /api/v0.1/hansard/entries/1272774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1272774,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272774/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Malindi, ODM",
"speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
"speaker": null,
"content": "Nchi ilipokuwa ikipambana na janga la Tuberculosis (TB), malaria na UKIMWI, Serikali iliangazia hayo magonjwa kwa undani zaidi na sasa ni wakati wa janga la saratani liweze kuangaziwa pia. Pale Malindi, kuna watu wengi ambao wako na huu ugonjwa wa saratani. Nimeweza kuwasaidia kwa njia tofauti lakini ni vizuri tuweze kuweka vichwa vyetu pamoja ili tuzidi kusaidia watu wetu."
}