GET /api/v0.1/hansard/entries/1272775/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1272775,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1272775/?format=api",
    "text_counter": 230,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo la kwanza, hata mbali na hizi pesa, sisi kama Wabunge na Serikali, lazima tuwawezeshe madaktari wetu zaidi. Tunafaa pia kuwahimiza watoto wetu kusomea huu ugonjwa, oncology ili wasikuwe wachache. Tunafaa pia kuwaelimisha watu wetu kuhusu huu ugonjwa wa saratani ndio wapate ujuzi utakaowasaidia kujua jinsi ya kushinda huu ugonjwa. Tusomeshe watu wetu kuhusu ugonjwa wa saratani ndipo tupate madaktari wengi ambao wanaweza kutusaidia kwa upande wa saratani."
}