GET /api/v0.1/hansard/entries/1273305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273305,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273305/?format=api",
    "text_counter": 522,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Swali langu kwa Waziri ni kuhusu huduma zinazotendeka katika ofisi yake kama mambo ya saratani. Lamu ni kisiwa. Mna mpangilio gani kwa sababu huu mpango wa wazee umeleta shida kwetu Lamu? Afisa anakaa Mji wa Lamu. Kutoka Mji wa Kiunga, gharama ya usafiri ya mzee hadi Mji wa Lamu ni Ksh4,100. Pesa anakuja kuchukua ni hiyo Ksh4,000. Inakuwa ni shida sana. Tafuta njia zingine. Inabidi wachange watafute mtu ndio aende awachukulie pesa. Ni shida kwetu. Mkitoa huduma yeyote, mfikirie watu wa Lamu ambao wanaishi kwa visiwa. Changamoto za usafiri ziko ghali sana. Asante, Mhe. Spika wa Muda."
}