GET /api/v0.1/hansard/entries/1273308/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273308,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273308/?format=api",
    "text_counter": 525,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Florence Bore",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
    "speaker": null,
    "content": "wasitumie pesa nyingi kwa barabara wakienda kuchukua hiyo pesa. Mazungumzo yanaendelea. Hata wiki hii, tuliongea na Safaricom ndio wazee wapate hiyo pesa nyumbani. Shida ni kuwa hawa wazee hunyang’anywa pesa saa zingine na caregivers . Mzee anaweza ambiwa pesa haijaingia na kumbe iliingia. Kijana anachukua hiyo pesa anatumia. Kwa hivyo, tutafanya mipango mizuri ya kuhakikisha beneficiary ameshika hiyo pesa hata akitumiwa na M-Pesa. Asante, Mhe. Spika wa Muda."
}