GET /api/v0.1/hansard/entries/1273397/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273397,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273397/?format=api",
    "text_counter": 614,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante. Swali langu kwa Waziri ni kama lile tu. Sisi Lamu mipangilio yote inayotokea kwa Serikali tunasahaulika. Ningeomba nipewe utaratibu kama vile umepeana kwa Mbunge mwenzangu. Lamu Mashariki waliopata ni kina nani? Jiajiri Lamu Mashariki sioni. Uwezo Fund Lamu Mashariki kutoka nilipokua Mbunge Muwakilishi wa akina mama, nimeenda mbio mpaka sasa hakuna, haiendelei. Youth Enterprise Fund ni shida. Wale wote maafisa ambao wanafaa kukaa sub county ya Lamu Mashariki, wote wanakaa Lamu mjini. Waziri ninakuomba uje, ninasema hili kwa machungu. Kwa sababu mimi nikija hapa watu wananiambia tumeskia mashambulizi ya Al-Shabab. Inaweza kuwa sisi ndio tunasababisha hayo mashambulizi kwa sababu ya vile mnawatenga wale vijana. Mfano wa vijana wa Kiunga, kutoka Kiunga kwenda Somalia, ni mile mia tano. Kama mipango hiyo ya Serikali haiwafikii..."
}