GET /api/v0.1/hansard/entries/1273399/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273399,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273399/?format=api",
    "text_counter": 616,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Bw. Spika wa Muda, mipangilio ya Serikali ni kuwacha Lamu nyuma au ana mipangilio gani ndio haya matatizo ya Al - Shabab yaishe? Kwa sababu kama vijana hawahusishwi katika mipangilio hii ndio inasababisha hayo mambo yanayotokea Lamu. Kisha mwakilisha wadi jana ameshambuliwa na mke wake amefariki. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}