GET /api/v0.1/hansard/entries/1273401/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273401,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273401/?format=api",
    "text_counter": 618,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Florence Bore",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
    "speaker": null,
    "content": " Thank you, Hon. Temporary Speaker and Hon. Ruweida. Nimesikia kilio cha watu wako. Nimesikia maswali mawili ambayo umeuliza. Moja tu ndilo langu. Hilo la kwanza unataka orodha ya waliofaidika kutoka Eneo Bunge ya Lamu Mshariki. Iko tayari, na ninaomba nipatiwe muda niweze kuileta siku nyingine ama nitume kwa Mheshimiwa Ruweida Mohamed. The Ministry of Public Service, Gender and Affirmation Action inaweza kukueleza juu ya Uwezo Fund ."
}