GET /api/v0.1/hansard/entries/1273403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1273403,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273403/?format=api",
    "text_counter": 620,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Florence Bore",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
    "speaker": null,
    "content": "niko tayari kuja Lamu East tufanye kazi pamoja. Kama kuna kitu unahitaji kwa Wizara yangu ya Labour and Social Protection, nitafurahi sana kufanya kazi na wewe kwa sababu nilipewa kazi nifanye kila mahali Kenya hii. Asante"
}