GET /api/v0.1/hansard/entries/1273980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1273980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1273980/?format=api",
"text_counter": 428,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, ni ukweli mtupu na ni dhahiri shahiri ya kwamba hizi pesa ambazo anasoma zimetumwa katika gatuzi zetu. Ni vizuri Sen. Thangw’a aelewe na asijisumbue zaidi kwa sababu, hawa Maseneta wa upande wa Upinzani wamekuwa katika maandamano. Kwa hivyo, hawana uzoefu na hawaelewi."
}