GET /api/v0.1/hansard/entries/1274544/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1274544,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274544/?format=api",
"text_counter": 358,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": "Suala hili la usalama liko kote nchini. Kule Banisa, kwa mfano, wanajeshi wetu walio kule kila wakati wanapoteza maisha. Waziri wa Usalama amejaribu sana lakini haijatosha. Ingekuwa tu siku moja aamuru kikosi kizima kiende kivamie hiyo misitu ambayo iko na hawa majangili na kufagia kama vile ilivyokuwa mwaka wa 1969, ambapo hayati Mzee Jomo Kenyatta aliamuru jeshi na likafagia mashifta wote na vita vya mashifta vikaisha. Hatukuwahi kuvisikia tena. Ni vyema tufuate mfano huo. Amri itolewe kuwa misitu ya Kapedo na Banisa ivamiwe. Hili likifanyika, hatutasikia tena mashambulizi ya Al Shaabab ama majangili wanaohangaisha Wakenya wasio na hatia."
}