GET /api/v0.1/hansard/entries/1274625/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1274625,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274625/?format=api",
    "text_counter": 69,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, taarifa aliyoisoma dada yetu Sen. Okenyuri ni muhimu sana, kwa sababu inazungumzia maswala ya utalii. Ni masikitiko kwamba ameizungumzia katika Kanuni ya Kudumu ya 52(1) ambayo haitupi fursa hususan wale ambao wametoka kwenye maeneo ya kitalii, si kama maeneo ya Nandi ambayo hayana utalii, ili waweze kuchangia taarifa kama hii. Namshauri dadangu kwamba siku nyingine akiwa na Kauli nzuri kama hii, aweze kuileta kwa kanuni ambayo itatupa nafasi ya kuchangia."
}