GET /api/v0.1/hansard/entries/1274673/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1274673,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274673/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante sana Bw. Naibu Spika. Jambo la kwanza, nataka kumpatia kongole dada yangu Sen. Okenyuri kwa Taarifa hii ambayo ameleta hapa. Utalii ni uti wa mgongo wa uchumi wa nchi hii. Asilimia 30 ya mapato ya uchumi wa nchi hii, ni pesa ambayo inaletwa na watalii. Kwanza, inaleta ajira. Vijana wengi wamepata ajira kupitia mambo ya utalii. Lakini ukiangalia hivi sasa katika sehemu nyingi huku Kenya, vijana wanakosa ajira kwa sababu utalii umekufa---"
}