GET /api/v0.1/hansard/entries/1274676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1274676,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274676/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cherarkey",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13217,
"legal_name": "Cherarkey K Samson",
"slug": "cherarkey-k-samson"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, nasimama kwa Kanuni za Kudumu No.101 za Bunge la Seneti. Nimemskia Seneta mwenzangu ambaye ni Kiongozi wa Walio Wachache akisema “azimia.” Ningependa kujua inamaanisha nini ili niweze kufuatilia haya mazungumzo. Itakuwa ni bora ikiwa atafafanua. Bw. Naibu Spika, sisi pia ni watalii na tunachangia utalii."
}