GET /api/v0.1/hansard/entries/1274683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1274683,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274683/?format=api",
    "text_counter": 127,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante sana. Tunajua Lamu hupata watalii wengi. Kuna ile airport ambayo hata sisi tukiwa na mikutano Lamu, huwa tunapanda ndege na kushuka huko. Hiyo ni Manda Airport ambayo mpaka sasa ni kidogo sana. Tunasema kwamba Serikali ni lazima izingatie ya kwamba pale panaposhuka watalii pafanyiwe utaratibu."
}