GET /api/v0.1/hansard/entries/1274772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1274772,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274772/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Jambo la kusisitiza zaidi ni kwamba hawa Wakenya wetu ni binadamu pia. Hebu fikiria mtoto kuathirika akiwa tumboni mwa mama yake na anasema hadi wa leo anahisi kisunzi na macho yake hayaoni vizuri. Ni kwa sababu ya athari iliyotokea wakati ule."
}