GET /api/v0.1/hansard/entries/1274776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1274776,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1274776/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kathuri",
    "speaker_title": "The Deputy Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13590,
        "legal_name": "Murungi Kathuri",
        "slug": "murungi-kathuri"
    },
    "content": " Seneta wa Kaunti ya Kilifi, huwezi kujigamba kwamba wewe ni kiongozi kila wakati. Ungesema tu kwa heshima uongezwe muda. Wengine wakuite kiongozi lakini sio wewe mwenyewe ujiite kiongozi. Nitakuongeza sekunde 30 lakini ujue kufupisha maneno kwa sababu ya muda."
}