GET /api/v0.1/hansard/entries/1275166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1275166,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275166/?format=api",
    "text_counter": 60,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ezekiel Machogu",
    "speaker_title": "The Cabinet Secretary for Education",
    "speaker": {
        "id": 13458,
        "legal_name": "Ezekiel Machogu Ombaki",
        "slug": "ezekiel-machogu-ombaki"
    },
    "content": " Asante, Bw. Naibu wa Spika. Ni kweli vile Seneta wa Kaunti ya Embu amesema ya kwamba ni muhimu wale wanaostaafu walipwe malipo yao kwa wakati unaofaa. Kuna utaratibu ambao unafuatwa. Mwalimu au afisa wa Serikali akistaafu, lazima faili yake iangaliwe na itumwe National Treasury kwa Idara ya Pensions. Wakati huu sio kama zamani na hiyo faili ikifika hapo, haikai sana. Tumeeleza TSC, wakati mtu"
}