GET /api/v0.1/hansard/entries/1275168/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1275168,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275168/?format=api",
"text_counter": 62,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ezekiel Machogu",
"speaker_title": "The Cabinet Secretary for Education",
"speaker": {
"id": 13458,
"legal_name": "Ezekiel Machogu Ombaki",
"slug": "ezekiel-machogu-ombaki"
},
"content": "anastaafu, faili yake itumwe haraka iwezekanavyo kwa Pensions Department, ili malipo yashughulikiwe. Kusema ukweli, iwapo mtu alikuwa anapata mshahara halafu akae mwaka mmoja au miwili bila mshahara, inaweza kuleta madhara mengine. Bw. Naibu wa Spika, tunasisitiza mtu alipwe baada ya miezi tano na kutoka hapo, awekwe kwa orodha ya kupokea pesa kila mwezi. Lakini, kama kuna kesi yeyote ambayo mtu amekaa mwaka mmoja, naomba hiyo kesi ifikishwe kwangu ili niweze kuishughulikia kikamilifu. Asante."
}