GET /api/v0.1/hansard/entries/1275859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1275859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275859/?format=api",
    "text_counter": 383,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Wamesema kumekuwa na vita Ukraine, lakini vita vya Ukraine vimekuwepo sasa zaidi ya mwaka. Vita vya Ukraine vilianza February mwaka uliopita kwa hivyo kwa sasa haviwezi vikawa ni nyenzo inayochangia kupungua kwa dhamani ya sarafu ya Kenya."
}