GET /api/v0.1/hansard/entries/1275860/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1275860,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275860/?format=api",
"text_counter": 384,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kipengee cha 211 ya Katiba yetu kinaipa Bunge hili fursa ya kutunga sheria zinazoangalia maswala ya kukopa na pia kuweka wazi sheria ambayo itamruhusu Waziri wa Fedha kuweza kutoa ripoti kwa Bunge. Nikizungumzia Bunge nazungumzia Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa. Huu Mswada unapotaka kupunguza hii fursa ya kuleta ripoti, ukipelekwa kwa Bunge la Kitaifa pekee yake, ina maana wanakiuka Katiba katika kipengee cha 211."
}