GET /api/v0.1/hansard/entries/1275862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1275862,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275862/?format=api",
    "text_counter": 386,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Iwapo sheria hii itapita inamaanisha kwamba deni letu litakuwa limekwenda zaidi ya asilimia 55 ambalo limependekezwa katika Mswada huu. Tukibadilisha, Waziri husika atakuwa na muda wa miaka mitano. Kwa maoni yangu, miaka mitano ni mingi kwa sababu kila mwaka Seneti na Bunge la Taifa hujadili"
}