GET /api/v0.1/hansard/entries/1275864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1275864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275864/?format=api",
"text_counter": 388,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "(BPS) ambapo Serikali inatoa mapendekezo ya jinsi ya kupunguza madeni kwa muda mfupi na baada ya muda mrefu. Mwaka ujao, Mwezi wa tatu au wa nne, tutakuwa tunajadili kuhusu BPS. Tutajadili kuhusu mapendekezo yatakayotolewa na iwapo yatasaidia kupunguza madeni"
}