GET /api/v0.1/hansard/entries/1275868/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1275868,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275868/?format=api",
"text_counter": 392,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": ". Serikali karibu inapita kiwango cha Kshs10 trillioni. Kwa hivyo, mabadiliko haya hayataipa Serikali afueni kwa sababu tayari wamevuka mpaka unaofaa wa Kshs10 trillioni hadi asilimia 55 ya GDP . Kuna haja ya Serikali kupewa muda. Muda huo unafaa kupendekezwa na Bunge. Kulingana nami, unafaa kuwa muda wa miaka mitatu. Vipengee vingine ambavyo vinaleta shida ni 2(b) na (c) ambavyo vinasema kwamba Waziri anaweza kukiuka kiwango hicho cha asilimia 55 na baadaye kuleta ripoti Bungeni ili kukubaliwa kufanya hivyo. Hatuwezi kama Bunge kukataa wajibu wetu wa kutunga sheria. Vipengee hivi vikipita ina maana kwamba Serikali itakuwa na freehand or blank"
}