GET /api/v0.1/hansard/entries/1275877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1275877,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1275877/?format=api",
    "text_counter": 401,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ofisi ya kudhibiti madeni ni muhimu sana. Kwa hivyo, haifai kuwa Idara katika Ofisi ya Waziri wa Fedha na Mipango katika nchi yetu. Kuna madeni ya Serikali ya kitaifa na serikali za kaunti ambazo zinatambulika kikatiba. Kuna serikali za kaunti ambazo ziko tayari kukopa kulingana na fedha wanazopata. Mapato yao yanawawezesha kukopa ili kutekeleza mipango yao kwa haraka na kuendeleza maendeleo kisha walipie pole pole kulingana na uwezo wa kaunti zao."
}