GET /api/v0.1/hansard/entries/1276263/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276263,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276263/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Swala la mipaka kati ya kaunti zetu ni swala nyeti. Kaunti nyingi zina utata wa mipaka. Kaunti za sasa hivi zinategemea sheria ya Mikoa na Wilaya ya mwaka wa 1992 ama District and Provinces Act ya 1992. Kwa sasa, kuna kaunti nyingi ambazo zina shida ya mipaka. Ukosefu wa kuelewana katika mipaka ya kaunti umeleta utovu wa usalama mara nyingi."
}