GET /api/v0.1/hansard/entries/1276265/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276265,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276265/?format=api",
    "text_counter": 326,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, kuna taarifa ambayo niliwasilisha mbele ya Kamati ya Ugatuzi na Mahusiano ya Serikali ambayo nafikiri tulielewana na wanakamati waite Kaunti ya Kajiado ili waje tuelewane kuhusu ule mpaka na vile walichukua shamba kule Taita Taveta. Lakini, nafikiri mkutano huo haujafanyika."
}