GET /api/v0.1/hansard/entries/1276270/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276270,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276270/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Mwisho kabisa, kama Bunge la Seneti, mambo ya kubadilisha mipaka iko katika Ibara ya 188 ya Katiba ambayo inapendekeza kuwe na tume ya kuangalia mipaka. Kuna sheria ambayo iko katika Seneti inaitwa County Boundaries Bill ambayo tunahitaji kuangazia kwa umakini na haraka ili tuangalia mipaka yote katika Jamhuri ya Kenya."
}