GET /api/v0.1/hansard/entries/1276566/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1276566,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276566/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Butere, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Nicholas Mwale",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nitaanza kwa kumpongeza mwenzangu, Mhe. Brighton Yegon, kwa kuleta Hoja hii muhimu sana inayopendekeza kutengeneza mikakati ya kuzingatia jinsi ambavyo watoto ambao wazazi wao wamezuiliwa kizimbani watanawiri na kuishi maisha mema yasiyo na ubaguzi. Nitaanza kwa kusema kuwa kisheria, mtoto anapaswa apate basic needs ambazo ni mavazi, mahali pa kuishi na chakula. Mzazi ndiye anapaswa ashughulikie mahitaji hayo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}