GET /api/v0.1/hansard/entries/1276599/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276599,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276599/?format=api",
    "text_counter": 210,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ninajiunga na wenzangu kumpatia hongera Mhe. Yegon kwa kuleta Hoja hii kwa wakati unaofaa. Kila mtoto wa taifa hili yuko na haki. Ni haki ya kila mtoto kuwa na malezi bora, elimu na afya. Ijapokuwa kuna wazazi waliozuiliwa gerezani, haimaanishi mtoto asipate haki yake. Ni jukumu la Serikali katika Idara ya Ulinzi wa Kijamii kuchukulia suala hili kwa uzito sana na kuhakikisha kwamba watoto wamepata haki yao na elimu bora. Hawa watoto ndio watakaokuwa viongozi wa taifa hili kesho. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}