GET /api/v0.1/hansard/entries/1276655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276655,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276655/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Unapata watoto wanakuja shuleni wakiwa wamefura tumbo, wametokewa na mashilingi kwenye uso na kujikunakuna na kutatizika kusoma. Mtoto kama yule, hawezi akasoma vizuri na kwa hivyo, ile hali inafanya damu ikosekane mwilini maanake, wale minyoo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}