GET /api/v0.1/hansard/entries/1276878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1276878,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276878/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Zamzam Mohammed (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ninachukua fursa hii kumshukuru ndugu yangu, Mhe. Wamboka, ambaye ni mjomba wangu kwa sababu mama ni wa huko. Namshukuru sana kwa kuleta Hoja hii ya leo. Ni dhahiri shahiri kuwa pesa za Umma zimekuwa zikitumika vibaya. Tukiangalia miradi ambayo imekuwa ikifanywa katika taifa hili, kuna mingine inarejelewa katika sehemu moja ambayo tayari imeinuka kiichumi na ipo katika hali nzuri. Pesa bado zinazidi kwenda kule, ilhali sehemu ambayo ina uchochole na iko chini kwa maendeleo inapewa mgao mdogo. Licha ya The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}