GET /api/v0.1/hansard/entries/1276881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276881/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Zamzam Mohammed (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ardhi nyingi ya shule za upili na vyuo vikuu imeibiwa na watu kwa sababu hawana hati miliki. Tukiangalia kanda za Pwani, haswa Mombasa, shule nyingi hazina hati miliki lakini ni za zamani sana. Ukiuliza, unasikia kuna mtu fulani amechukua kipande kidogo cha ardhi ndani ya shule ama anajenga jumba lingine pale. Ndiyo maana ninapongeza sana Mhe. Wamboka kwa kuleta mjadala ambao utaona shule zetu na sehemu za masomo yaani"
}