GET /api/v0.1/hansard/entries/1276885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1276885,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1276885/?format=api",
    "text_counter": 191,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Zamzam Mohammed (",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "na ningependa imfikie Waziri wa Elimu. Sisi akina mama wa kaunti, arobaini na saba tunahangaika sana. Ukiangalia kuna mgao uliingia kwao yaani pesa za kugawa sodo. Jana na juzi nimetoka mashuleni nikigawanya sodo kutoka kwa mfuko wangu. Ukiwauliza wanakuambia hawajawai pata sodo. Hayo ndio makadirio tunasema yanawekwa kwenye bajeti lakini pesa hazifiki mashinani kufanya kazi ambayo inatakiwa kufanya. Ninawaomba kwa sababu akina mama wa kaunti arobaini na saba, wamehangaika sana na wenzangu wako hapa watasema. Hizi pesa za sodo, ziletwe katika docket yetu. Kaunti ni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}