GET /api/v0.1/hansard/entries/1277195/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277195,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277195/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "ya Kenya ambayo ni muhimu maana ata Shakahola ilikupata pasipo wewe kujua na hii pia imekupata vivyo hivyo, unaweza kuambia nini Wakenya kwa mwaka mzima umemaliza kuwa usalama wa Kenya uko dhabiti katika mikono yako? Asante sana."
}