GET /api/v0.1/hansard/entries/1277247/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277247,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277247/?format=api",
"text_counter": 192,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mheshimiwa Spika, swali langu lilikuwa tu dhahiri kuwa Kenya tuko katika hali tata ikiwa anga zetu zitakuwa zimeingiliwa. Mheshimiwa alinikosoa akaweka kama ambaye ninamdhulumu yule Waziri ila ni yale aliyosema Rais wa Taifa hili kuwa hao Mawaziri hawaelewi vitu vingi. Nimeuliza: Usalama wa nchi yetu uko sawa katika mikono yake kwa vile tumeingiliwa sana? Hii ni kwa sababu yeye amekuja kuzungumzia mambo ya siasa. Hapa sio siasa kwa sababu hata mimi, account yangu ilikuwa hacked . Ndio maana ninasema hayo sio maswala ya siasa."
}