GET /api/v0.1/hansard/entries/1277352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1277352,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277352/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Wachina ni wafupi Zaidi, lakini ni wanajeshi. Kwa nini tunawanyima Wakenya fursa ya kulinda taifa lao? Mhe. Waziri, hili jambo tunafaa tuliangalie kwa makini sana na tusiseme usajili ni huru kama hao tumewaweka nje. Ahsante sana."
}