GET /api/v0.1/hansard/entries/1277908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277908,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277908/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Kwanza, ninataka kukupongeza kwa kazi nzuri uliyotufanyia kule Uganda wakati ulipoenda kutuwakilisha katika kupinga mambo ya LGBTQ. Uliongea mpaka Rais Museveni akajua kuwa Kaluma ameingia ndani ya Kampala. Ninachukua fursa hii kuipongeza Kamati hii ya Ukaguzi inayoongozwa na Mhe. Fatuma ambaye ametupa Ripoti kamilifu. Ninampongeza sana Mwenyekiti kwa kutupatia Ripoti yenye kina. Ripoti hiyo ina mambo mengi sana. Ninaipongeza Kamati yote, Mhe. Fatuma kama kiongozi, vile vile Catherine na wengine wote. Kamati ya Ukaguzi imeangalia mambo ya Uwezo Fund, Youth Enterprise Development"
}