GET /api/v0.1/hansard/entries/1277915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1277915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277915/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Weytan yupo pamoja nami katika Kamati ya Uchukuzi na Miundo Misingi. Bado ninamfunza kidogo jinsi atapiga vipindi vitatu kama kijana mwepesi, Garang de Mabior, Mzee Fula Ngenge, na Kaluma walivyopiga vipindi vitatu hapa. Kwa hivyo, Mhe. Weytan, usiwe na wasi wasi. Nina uhakika kuwa utarudi kufanya kipindi cha The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}