GET /api/v0.1/hansard/entries/1277922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1277922,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1277922/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Kutongoza ni kurusha mistari ili msichana akukubali. Ukishindwa kwa njia ya maneno, watumia fedha ili aweze kukubali. Ninashukuru kwa kunipatia nafasi hii na ninaiunga mkono Ripoti ya hii Kamati. Ikizingatiwa vilivyo, tutaendelea. Asante, Mhe. Spika wa Muda."
}