GET /api/v0.1/hansard/entries/1278550/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1278550,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278550/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "Mboga zinanyunyizwa dawa na kabla muda wa kuuzwa kufika, mtu anazivuna na kuzipeleka sokoni kwa sababu hakuna mtu anayeshughulikia jambo hilo. Taifa ambalo liko na chakula bora hupata watalii kwa maana chakula kikiwa bora, wageni watatoka sehemu tofauti kuja katika taifa letu kwa sababu wako na imani kwamba chakula chetu ni bora na salama."
}