GET /api/v0.1/hansard/entries/1278723/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1278723,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278723/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii niweze kuunga mkono petition ambayo imeletwa leo kuhusu Kenya Railways Corporation . Niko na mjomba wangu ambaye anaitwa Juma Mohammed Mtiti aliyefanya kazi na kampuni hii kwa miaka mingi sana. Kila nikienda kumtembelea analalamika ule mgao wao wa malipo ya uzee unachelewa sana. Ninafikiri kuna mtu anayefanya makatafunio kule. Wakati huu Serikali inafaa iangalie wazee wetu ambao wameihudumia kwa miaka mingi. Yeye alikuwa Station Master pale Kisumu, alimaliza lakini pension ama malipo ya uzeeni yanamsumbua sana. Tuko mpaka na councillors na wanalia sana. Ninafikiri wataleta petition hapa Bungeni maanake wamesahaulika kama walitoa huduma kwa Serikali hii. Kwa hivyo, ninaunga mkono"
}