GET /api/v0.1/hansard/entries/1278725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1278725,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278725/?format=api",
    "text_counter": 126,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "hii kuwa waalimu, madaktari na wafanyikazi wa Serikali wote, malipo yao ya uzeeni yaangaliwe vizuri. Wazee wanahangaika sana katika taifa hili. Hata wale ambao wanalipwa malipo mengine ya Ksh2,000 wao pia huibiwa. Kwa hivyo, tusiwaache wazee wetu wakihangaika katika taifa hili ilhali walitoa huduma. Asante sana Mhe. Spika."
}