GET /api/v0.1/hansard/entries/1278923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1278923,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1278923/?format=api",
    "text_counter": 324,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "“Mtoto wangu anaenda Chuo Kikuu cha Meru kusomea utangazaji na karo ni elfu mia mbili na nne. Nilikuwa naomba usaidizi kwa sababu hiyo karo ni nyingi na sitaweza kumpelekapeke yangu. Nisaidie niweze kusomesha mtoto wangu.”"
}