GET /api/v0.1/hansard/entries/1279238/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1279238,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279238/?format=api",
    "text_counter": 295,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Nina swali kwa Waziri wa Utalii. Mama Ngina Water Front ni mahali ambapo wana-Mombasa hubarizi kufanya mambo yetu ya culture, na kukaribisha wageni. Kuna mwaka Serikali ilichukua Mama Ngina Water Front na mkaitengeza. Mliweka bodi ya kusimamia na ikawa ikimalizika muiregeshe kwa county government . Hata ile Fort Jesus. Mpaka leo, watu wetu wanatozwa pesa nyingi sana kukutana pale na kufanya zile programu zetu za utamaduni. Uliandikiwa barua na gavana na kukumbushwa kuwa yapasa uregeshe kwa county government . Je, umepanga vipi kuhakikisha kuwa Kaunti ya Mombasa inaregeshewa Fort Jesus pamoja na sehemu ya watoto ya kuchezea mpira na kila kitu, na Mama Ngina Water Front."
}