GET /api/v0.1/hansard/entries/1279241/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1279241,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279241/?format=api",
"text_counter": 298,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Tumeona vile pesa au rasilimali ya Tourism Promotion Fund (TPF) ilielekezwa sehemu mbalimbali. Nitakuwa na makosa nikisema Ministry of Tourism ndiyo imechangia pakubwa vita vya Al Shabaab - kwamba inasaidia Al Shabaab watupige kule Lamu na wapige Kenya nzima? Nyingi ya hizo pesa zimepelekwa kwingine. Ukiangalia barabara za Lamu Mashariki, kuna Dodori National Reserve, Kiunga Marine National Reserve na Boni National Reserve. Hizo zimechukua karibu Lamu Mashariki yote. Barabara ya mwisho kutengenezwa na KWS ni 1979. Nitakuwa ninakosea nikisema kwmba Ministry of Tourism inasaidia Al Shabaab ndio utovu wa usalama uendelee Lamu?"
}