GET /api/v0.1/hansard/entries/1279286/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1279286,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279286/?format=api",
    "text_counter": 343,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Mhe. Spika. Waziri, unasema kuwa Mama Ngina haiko chini yako ilhali ulitumiwa barua mwezi wa 11 mwaka jana. Tumemaliza miezi kumi na bado hujajibu hiyo barua. Umesema unatafuta executive order . Ninataka uniambie Mama Ngina iko chini ya docket ya nani kama si ya t ourism ?"
}