GET /api/v0.1/hansard/entries/1279447/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1279447,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1279447/?format=api",
    "text_counter": 504,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Kenya haiwezi kusonga mbele ikiwa taifa halina amani na mwelekeo. Hakuna maendeleo tunaweza pata kama taifa kwa sababu hatuna amani katika taifa hili. Niaunga mkono Kinara wetu wa Azimio, Bwana Raila Amolo Odinga, na pia Rais kwa kukutana na kusema kuna haki ya kukaa chini na kupeleka Kenya mbele kama nchi moja. Wengi wamesema kuwa sisi tunataka nusu mkate, na kuwa ile ni ndoto ya chama. Sisi tuko sawa na tayari kuweka Serikali katika njia iliyo sawa, isipokuwa tunataka amani na tujue hata zile servers zikifunguliwa, itakuwa ni bora kwetu sisi sote katika yale matakwa."
}